What a wonderful bird's eye view of our beautiful Mount Kilimanjaro, I was able to capture today February 12th, 2020. I was on a TGFA flight from Nairobi to Dar es Salaam. I have never been this lucky before and I have seen this much snow. pic.twitter.com/7WQObC5WRt
— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) February 12, 2020
Nimepata tabu kuandika kwa kifupi kuelezea simanzi na masikitiko yangu kwa msiba mkubwa ulioukumba nchi yetu kwa kuondokewa na mpendwa wetu Mheshimiwa Rais @MagufuliJP . Nimelazimika kuyaambatisha hapa chini. Mwenyezi Mungu amuweke mahala pema, peponi. pic.twitter.com/LdRpWkcfpA
— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) March 19, 2021
There is life after retirement with more time for things I had less time for, like enjoying quality time with my family, my cattle & farm. pic.twitter.com/5bqa2Bl1En
— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) June 4, 2017
Nimefarijika sana leo nikiwa Bagamoyo kukutana na Mwalimu Calistus Nazari aliyenifundisha darasa la 6 Lugoba Middle School mwaka 1963. Nimefurahi kumuona ana afya njema na nguvu pamoja na kuwa na umri wa zaidi ya miaka 80. pic.twitter.com/5QYgb9zSw2
— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) October 14, 2020